Habari kuhusu Vijana kutoka Machi, 2015
Picha za Kusikitisha za Watoto wa Kifilipino Wanaofanya Kazi Migodini
"Ni miaka minne sasa tangu nilioacha shule. Niliweza kufika darasa la sita peke yake na hapo nililazimika kuachana na masomo ili nikafanye kazi".