Habari kuhusu Vijana kutoka Oktoba, 2016
Vijana Wanaojifunza Mchezo wa Kuteleza Afrika Kusini Wafanya kama Filamu ya ‘Valley of a Thousand Hills’
Mchezo wa kuteleza hauna umaarufu sana nchini Afrika Kusini, hasa katika jamii za weusi. Kijana mmoja wa ki-Zulu anasema, "Tunajifunza kuteleza ili tuishi maisha mazuri yenye furaha"