Habari kuhusu Vijana kutoka Februari, 2015
Serikali ya Masedonia Yazuia Kupiga Picha za Maandamano kwa Kutumia Kamera za Anga

Video na picha zilizotengenezwa kwa kutumia kamera inayopaa angani zilikuwa nyenzo muhimu ya kuonesha ukubwa wa maandamano ya wanafunzi, ambayo yameitwa maandamano makubwa ya wanafunzi kuwahi kutokea nchini Masedonia tangu uhuru.