· Septemba, 2008

Habari kuhusu Vijana kutoka Septemba, 2008

Sheria inapokwaza haki za binadamu …

  29 Septemba 2008

Mtoto mwenye umri wa shule ya msingi aliyepatikana nje ya ndoa huko Zhuhai, kusini mwa China, hakubaliwi kujiunga na shule, kwa sababu mama yake hawezi kulipa faini kubwa ya kuwa na "mwana haramu", habari hii inasimuliwa na bloga, Han Tao.