Habari kuhusu Vijana kutoka Disemba, 2010
Bi Harusi wa Miaka 14 Huko Malaysia
Je msichana mwenye umri wa miaka 14 aruhusiwe kufunga ndoa? Mahakama ya Syaria ya Malaysia hivi karibuni ilimruhusu msichana mwenye umri wa miaka 14 kufunga ndoa na mwalimu wake mwenye umri wa miaka 23. Wanablogu wanajadili suala la ndoa za watoto