makala mpya zaidi zilizoandikwa na Samuel Kabulo
Kukamatwa kwa Mwandishi Mchunguzi Ivan Golunov Kwaleta Mageuzi katika Jamii ya Urusi
Kukamatwa kwa Golunov kumechochea kuungwa mkono kutoka pande zote za maeneo ya kisiasa nchini Urusi.
Angola Yakabiliana na Tuhuma za Ubadhilifu kwa Kufuta Zabuni, Serikali Yadaiwa Kugawanyika
kampuni ya Telstar ilianzishwa mwzezi Januari 2018 na mtaji wa Kwanza 200,000 (sawa na dola za kimarekeni 600), na mdau mkubwa ni general Manuel João Carneiro.
Mshindani wa Msumbiji Ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Kutunisha Misuli nchini Hong Kong
Saraiva ni mtu mashuhuri kwa kutunisha misuli nchini Msumbiji.
Mamlaka za Tanzania Zamshikilia na Kumfukuza Nchini Kiongozi wa Haki za Binadamu wa Uganda

Shirika la Haki za Binadamu Human Rights Watch linasema Tanzania imeshuhudia kushuka katika uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kukutana" chini ya serikali ya sasa
Kwa Mara ya Kwanza katika Historia ya Nchi, Mwanamke Aongoza Chuo Kikuu cha Umma Msumbiji
Nafasi yake ya Mkuu wa Chuo kikuu cha umma ni sawa na nafasi ya waziri katika Msumbiji.
Papa Francis Kutembelea Msumbiji Mwezi Septemba, Kipindi cha Kampeni ya Uchaguzi Mkuu
Msumbiji itakuwa na uchaguzi mkuu mwezi Oktoba na bado haijapata nafuu kutokana na kimbunga ambacho kimeharibu kabisa Beira ambao ni mji mkubwa wa pili.