makala mpya zaidi zilizoandikwa na Samuel Kabulo kutoka Februari, 2019
Mwanaharakati Raia wa Singapore Ahukumiwa Kifungo cha Siku 16 Jela kwa Kuzungumza na Joshua Wong Kiongozi wa Vijana wa HK
"Hakuna hukumu ambayo ningeweza kuichukulia kama ya haki, kwa sababu hakukuwa na kufunguliwa mashtaka kabisa."
Serikali ya Samoa Yamkamata Bloga Maarufu ‘Mfaume Faipopo’ kwa Tuhuma za Kumkashifu Waziri Mkuu
"Sheria mpya, ambayo imetokana na sheria ya zamani ya maandishi ya kukashfu, tangu ukoloni, imewasukuma viongozi wa Samoa kugeuka na kuangalia nyuma badala ya kuangalia mbele."