makala mpya zaidi zilizoandikwa na Samuel Kabulo kutoka Mei, 2019
Kwa nini Wakolombia Wazawa Wanaandamana Dhidi ya Rais Ivan Duque?
Wazawa Kolombia wameratibu maandamano ya kitaifa kupinga mpango mpya wa maendeleo wa Rais Duque wakiunganisha nguvu na Wakolombia weusi, wakulima, wafanyakazi na wanafunzi .
Benin Yashuhudia Kuzimwa kwa Mtandao Siku ya Uchaguzi
Mtandao kufungwa ambapo ulifunguliwa usiku, ukiwaacha wapiga kura gizani siku ya uchaguzi.
Mshindani wa Msumbiji Ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Kutunisha Misuli nchini Hong Kong
Saraiva ni mtu mashuhuri kwa kutunisha misuli nchini Msumbiji.