makala mpya zaidi zilizoandikwa na Samuel Kabulo kutoka Mei, 2018
Sabika Sheikh, Mwanafunzi wa Pakistan Aliyetaka Kuunganisha Nchi Mbili Auawa kwa Kupigwa Risasi
"...alisema...' Ninataka kujifunza utamaduni wa ki-Marekani na ninataka Marekani kujifuzna utamaduni wa Pakistan na ninataka tuje pamoja na tuungane," mama yake wa kufikia anakumbuka.
Taarifa ya Raia Mtandaoni: Hukumu ya Mahakama Kuu ya Gambia yaacha Mashaka juu ya Uhuru wa Kutoa Maoni
Taarifa ya Advox Kuhusu Raia wa Mtandaoni inakupa mhutasari wa habari za kimataifa kuhusu changamoto, mafanikio na yanayoendelea kuhusu haki za mtandaoni duniani kote
Kwa Sasa Bunge la Cuba Lina Makamu wa Rais Watatu Weusi. Inakuwaje Hali Hiyo Haikutengeneza Habari?
"Kwa wapinzani kote [...] kila mmoja amekandamizwa kiasi kwamba ubaguzi wa rangi si suala la kupewa uzito. Mabadiliko haya yanahujumu mjadala na yanatuzuia kwenda mbele."
Zoezi la Historia Lililotolewa Shuleni Kuhusu Namna ya Kufundisha Utumwa Lazua Mzozo Jamaica
"Sasa kwa zoezi hili, je, Hillel wangeweza kutoa zoezi kuhusu Vita vya Pili vya Dunia ili mwanafunzi aje na mbinu za Ujerumani iliyotawaliwa na Manazi kuwaua Wayahudi?"