Habari kuhusu Uturuki kutoka Julai, 2017
Mamlaka za Uturuki Zawatia Kizuizini Wapigania Haki za Binadamu Maarufu Wakiwa Kwenye Warsha ya Uwezeshaji
"Watu [hawa] waliojitolea maisha yao kwa ajili ya kupigania haki za binadamu. Siku yaja watakaposimama kidete kutetea haki za wake wanaohusika kuwakamata."