Habari kuhusu Uturuki kutoka Juni, 2016
Watu Wasiopungua 42 Wafariki Dunia Kufuatia Shambulio la Uwanja wa Ndege Istanbul
Serikali inawalaumu magaidi wa ISIS kwa shambulio hilo. Wananchi na hoteli za miji mikuu nchini Uturuki zimewakaribisha wasafiri waliokwamba kufuatia mashambulio hayo