Habari kuhusu Uhamiaji na Uhamaji

Surprising Europe: Mkusanyiko Huru wa Simulizi za Uhamiaji

  9 Septemba 2014

Jukwaa huru la mtandaoni linalozikusanya na kuziweka pamoja simulizi na video za wahamiaji kutoka Afrika. An online platform that brings together African immigrants' stories and videos, unabridged. NI mradi unaosaidia kukabiliana na unyanyasaji na unyanyapaa pamoja na kuwaongezea watu ufahamu kuhusiana na wahamiaji hawa.

Uhamaji wa Watoto Wachukuliwa kuwa ni Baa la Kibinadamu

  26 Juni 2014

Kutoka Mexico, Katia D'Artigues, ambaye ni mwandishi wa blogu ya Campos Elíseos (Champs Elysées), aandika kuhusiana na watoto kulazimika kuhama wao wenyewe [es], hali inayompelekea kuiita hali hii kuwa ni “baa la kibinadamu”: Son niños que son orillados a cruzar la frontera solos. No lo hacen por aventura, sino porque...