Habari kuhusu Uhamiaji na Uhamaji kutoka Juni, 2017
Kubaki au Kuondoka Hakutoi Mustakabali wa Wakazi wa Al-Waer Nchini Syria
Waasi pamoja na familia zao wanaihamisha ngome yao kutoka kwenye jiji hili lililobatizwa jina la "Kitovu cha Mapinduzi". Hizi hapa ni baadhi ya simulizi zao.
Baada ya Tishio la Ebola Kuondoka, Marekani Yalitaka Kundi La Wahamiaji Kutoka Afrika Magharibi Kurejea Makwao
Waliingia Marekani kwa mujibu wa sheria kama watu waliotoka kwenye nchi zenye migogoro. Sasa, mgogoro umekweisha, lakini imekuwa vigumu kwao kurudi nyumbani.
Jukwaa Hili Limewasaidia Maelfu ya Wahamiaji Kukutana Tena na Familia Zao Nyumbani
Duniani kote, takribani watu miliaoni 65 ambao, kwa sababu moja au nyingine, wamelazimishwa kuyakimbia makazi yao. Jukwaa hili linalenga kukutanisha familia zilizovunjika.