Habari kuhusu Uhamiaji na Uhamaji kutoka Februari, 2019
Kijana wa Niger Akwama Uwanja wa Ndege nchini Ethiopia kwa Miezi Kadhaa
"Nimelala kwenye viti, wakati mwingine nimelala msikitini, sijaoga kwa miezi miwili sasa kwa sababu uwanja wa ndege hauna bafu."