· Juni, 2014

Habari kuhusu Uhamiaji na Uhamaji kutoka Juni, 2014

Uhamaji wa Watoto Wachukuliwa kuwa ni Baa la Kibinadamu

  26 Juni 2014

Kutoka Mexico, Katia D'Artigues, ambaye ni mwandishi wa blogu ya Campos Elíseos (Champs Elysées), aandika kuhusiana na watoto kulazimika kuhama wao wenyewe [es], hali inayompelekea kuiita hali hii kuwa ni “baa la kibinadamu”: Son niños que son orillados a cruzar la frontera solos. No lo hacen por aventura, sino porque...