Habari kuhusu China kutoka Juni, 2014
Maandamano Makubwa Yafanyika huko Guangzhou, China
Mamia ya wakazi wa Guangzhou jana mchana walikusanyika huko Sanyuanli kupinga hatua ya polisi ya kutaifisha mali binafsi za watu kwenye bohari kama sehemu ya harakati za kukabiliana na majanga...