Habari kuhusu China kutoka Machi, 2016
Yaliyojiri Wiki Hili Global Voices: Tembo Chumbani
Kwenye tukio hili tunakupeleka Somalia, Japan, China, Pakistan na Cuba.
Umesikia? Podikasti ya Global Voices Imerejea
Baada ya likizo ya miaka mitatu, Podikasti ya Global Voices imerejea. Katika toleo hili, tunakupeleka Mexico, China, Tajikistan, Macedonia and Russia.