Habari kuhusu China kutoka Aprili, 2016
Yaliyojiri Wiki Hili Global Voices: ‘Nyaraka za Panama’ ni Kitu Gani?
Katika kipidni hiki, hedhi zatumika kisiasa nchini Poland, wa-Chile wenye asili ya Afrika wadai kutambuliwa nchini Chile, na wadhibiti mtandao nchini China wanafanya juhudi za kuondoa nyaraka za Panama -- hata ikibidi kwenye barua pepe.