Habari kuhusu GV Face kutoka Mei, 2014
Mazungumzo ya GV: Ukoaji wa Mafuriko Uliowezeshwa na Watu Nchini Serbia
Juma hili tunazungumza na marafiki waishio Serbia wanajihusisha na jitihada za ukoaji. Je, ni hatua zipi zinazochukuliwa na wananchi na serikali? Na kwa nini mitandao ya kijamii iko hatarini?
Mazungumzo ya GV: Kupigania Kuachiliwa Huru kwa Wanablogu wa Ethiopia wa Zone 9
Wanablogu tisa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari ---wanne wao wakiwa ni wanachama wa Global Voices ---wanashikiliwa nchini Ethiopia kwa sababu ya kutekeleza majukumu yao. Fahamu namna ya kuunga mkono kampeni ya #FreeZone9Bloggers!
Mazungumzo ya GV: Je, Utamaduni Ulisababisha Washindwe Kuokolewa Kwenye Ajali ya Kivuko?
Mitazamo potofu kuhusu Wakorea Kusini inaendelea kusambaa kwenye habari zinazotangazwa kuhusu kivuko kilichozama. Je, wahanga hao walikuwa na utii uliopindukia kiasi cha kushindwa kuokolewa?