Habari kuhusu GV Face kutoka Novemba, 2015
GV Face: Kuhusu Beirut na Paris, Kwa nini Majanga Mengine Yanatangazwa Zaidi Kuliko Mengine?
Katika toleo la wiki hii la mazungumzo ya GV, tutajadili rangi, siasa za vifo na miitikio isiyo na usawa yanapotokea majanga duniani kote.