Habari kuhusu GV Face kutoka Novemba, 2016
Mazungumzo ya GV: Hisia Zetu Siku Sita Kabla ya Uchaguzi wa Marekani
Tukiwa tumebakiza siku sita kabla ya uchaguzi na kabla ya kumalizika kwa minyukano ya kampeni, kila mmoja anaisubiria siku ya uchaguzi kwa bashasha.