Habari kuhusu GV Face kutoka Februari, 2014

Majadiliano ya GV: Maandamano ya Venezuela

  22 Februari 2014

Maandamano ya Venezuela yanahusu nini? Vyombo vya habari za kiraia vina wajibu upi? Tunazungumza na mwandishi wa Global Voices Marianne Díaz kuhusu hali ya mambo inavyoendelea nchini humo hivi sasa.