makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Julai, 2017
Mkutano wa Wapoland Kudai Mahakama Huru Dhidi ya Marekebisho Yanayofanywa na Chama Tawala
"Mkutano wa demokrasia nchini Poland unaendelea...Mishumaa ni alama ya matumaini ya uhuru na mustakabali bora zaidi."
Mwanahabari wa Mexico Asema ‘Hapana Kwa Ukimya’
Uhuru wa wa vyombo vya habari umeendelea kukutana na changamoto inayoibuka duniani kote. Nchini Mexico, hatari ya kutoa habari imefikiwa viwango vipya. Mamlaka zenye nguvu- kuanzia kwa maafisa wa serikali,...
Mamlaka za Uturuki Zawatia Kizuizini Wapigania Haki za Binadamu Maarufu Wakiwa Kwenye Warsha ya Uwezeshaji
"Watu [hawa] waliojitolea maisha yao kwa ajili ya kupigania haki za binadamu. Siku yaja watakaposimama kidete kutetea haki za wake wanaohusika kuwakamata."
Kinachotokea Pale Baba na Mama Wanapokaribia Kufukuzwa Nchini Marekani
Wakati wazazi wake wakipambana wasifukuzwe, ndugu hawa wanaoishi San Diego wameamua kutumia mitandao ya kijamii kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kugharamia matumizi ya kila siku.