makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Agosti, 2017
Mchora Vibonzo vya Kisiasa Nchini Malaysia Zunar Aishitaki Polisi Kwa Kumkamata Kinyume cha Sheria na Kushikilia Vitabu
"You can ban my books, you can ban my cartoons, but you cannot ban my mind. I will keep drawing until the last drop of my ink."
Mkimbizi na Mchora Vibonzo wa Korea Kaskazini Achora Kuhusu Maisha Yalivyo Kwa Watu Wanaotoroka
Akiwa mtoto, walimu walimsifu Choi Seong-guk kwa michoro yake ya wanajeshi wa Kimarekani ambapo anasema aliwafanya waonekane "wabaya na wakatili kadri ilivyowezekana."
Mamlaka ya Habari ya Thailand Yaufungia Mtandao wa TV Uliomwita Kiongozi wa Junta Dikteta
"Amri hiyo inakiadhibu kituo chote ikiwa ni pamoja na vipindi vyote bila kujali maudhui yake, na watu wote bila kujali majukumu yao."
Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza wa Jamaica Astaafu Akisifiwa, Akikoselewa — na Mjadala wa Nani Atakuwa Mrithi Wake
"Portia Simpson aliingia kwenye siasa za uwakilishi kwa ngazi ya bunge mwaka 1976 ambapo siasa na ukabila na ghasia zilikuwa na nafasi kubwa."