makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Disemba, 2020
Taarifa Za Ndani Zinasema; Wanafunzi wasiopungua 15 ‘Walitiwa mimba na wakufunzi’ katika chuo cha Polisi Msumbiji
Nyaraka hizo zilisema kuwa ujauzito huo ulitokana na mahusiano ya kingono baina ya wakufunzi bila kueleza kama mahusiano hayo yalikuwa ya hiari au lah.