makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Juni, 2016
Kwa nini Kila Mtu Nchini Madagaska Anafanyia Mzaha Mananasi
Mjadala wa Mananasi nchini Madagaska ni zaidi ya ujuavyo.
Mfungo wa Radhamani Wawafanya Wakimbizi wa Kiislamu Nchini Uturuki Wakumbuke Nyumbani
Serikali ya ugiriki inafanya jitihada za kuwasaidia wakimbizi wa ki-Islam wakati huu wa Ramadhani,lakini kwa wale waliokwama kipindi hiki kinawakumbusha maisha ya furaha nyumbani
‘HiviSasa’, Mradi wa Uandishi wa Kiraia Nchini Kenya kwa Ajili ya Tovuti za Simu

"Inapatikana kirahisi, inavutia watu wa makundi tofauti, ina uwazi na kumwezesha mwananchi na serikali ujumla. Wananchi wenye taarifa sahihi hufanya maamuzi bora na sahihi kwa ajili ya maisha yao na kwa serikali yao."
Mtazamo wa Tamasha la Kwanza la WanaBlogu na Vilogu wa Barani Afrika Lililofanyika Huko Dakar, Senegal
Kwa siku mbili, wanablogu na wanavilogu maarufu barani Afrika, wakiambatana na wadau kadhaa wa teknolojia barani Afrika walikuwa na majadiliano ya namna ya kuboresha kazi zao
Mwanaume wa Uganda Aswekwa Rumande kwa Kuvaa Tisheti Yenye Picha ya Kiongozi wa Chama cha Upinzani
Je tunaweza kutoka na kusema kwa sauti kuwa hii sio demokrasia kwa sababu sio? Tisheti Upuuzi gani!? Kwa nini msituweke wote kwenye magwanda yenu ya njano sasa?