makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Mei, 2018
Wanaharakati wa Cuba Waanzisha Ajenda Kuhusu Haki za Mashoga Nchini Cuba
"Nini kinaweza kuchukuliwa kuwa waraka wa kwanza wa aina yake nchini Cuba [...] ikiwa na matakwa 63 na imegawanywa kwenye vipengele viwili: hatua na sera za kibunge na sena, mipango na mikakati."
Bangladeshi Yasherehekea Kurushwa Angani Kwa Setilaiti Yao Kwa Mara ya Kwanza
"Kurushwa kwa chombo hiki cha Bangabandhu Satellite-1 kumethibitishwa. labda hivi ndivyo nchi inavyobadilika. Tunajisikia fahari sana."
Brazil Yatambulisha Kanuni Ngumu Dhidi ya ‘Habari Zisizo za Kweli’ Kuelekea Uchaguzi wa 2018
Kamati yenye wajumbe wanaotoka jeshini, polisi na idara ya Usalama ya Brazili itakuwa na kazi ya kufuatilia na ikibidi kutoa amri ya kufungiwa kwa habari za uongo kwenye mitandao ya kijamii.
Mwanzo Mpya Kwa Malaysia Baada ya Wapiga Kura Kuuangusha Utawala wa Miongo Sita wa Chama Tawala
"Barisan Nasional si mtawala wetu tena. Masaa machache kuanzia sasa, jua litaanza kuchomoza. Tunashuhudia Malaysia mpya ikitusalimia."