makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Julai, 2018
Nchini Ecuador, Binti Ashinda Haki ya Kutumia Ubini wa Mama Zake Wawili
"Satya, Helen, na Nicola, wamepambana kutimiza ndoto yao ya kuwa na furaha ya familia na hatimaye wamevunja viambaza vya kutengwa na kufanikiwa kujipatia haki ya kuwa sehemu ya familia."
Wanaharakati Dhidi ya Rushwa Nchini Urusi Wafungwa kwa “Kuchochea Maandamano” kwa Walichokiandika kwenye Mtandao wa Twita
"...hapa tena tunashuhudia mkutano ukiandaliwa kwa kupitia mtandao wa Twita. Inavyoonekana wakati huu watajikuta wanamkamata kila mtu."