makala mpya zaidi zilizoandikwa na Gloria Sizya kutoka Juni, 2017
Jukwaa Hili Limewasaidia Maelfu ya Wahamiaji Kukutana Tena na Familia Zao Nyumbani
Duniani kote, takribani watu miliaoni 65 ambao, kwa sababu moja au nyingine, wamelazimishwa kuyakimbia makazi yao. Jukwaa hili linalenga kukutanisha familia zilizovunjika.