· Januari, 2009

Habari kuhusu Malaysia kutoka Januari, 2009

Malaysia: Mafunzo Yanayotokana na Mafuriko

  21 Januari 2009

Wiki iliyopita, mafuriko yaliyakumba maeneo mbalimbali katika jimbo la Sarawak nchini Malaysia. Wanablogu wanaandika yaliyotukia na mafunzo yaliyotokana na janga hilo la mafuriko. Mafuriko hayo ni mabaya zaidi kutokea katika miaka mingi nchini Malaysia.