Habari kuhusu Mawazo kutoka Septemba, 2014
Kolombia: Hapana kwa Utalii wa Ngono Mjini Medellín
Kufikia katikati mwa mwezi Julai 2014, ukurasa wa Facebook Hapana kwa utalii wa ngono ulianzishwa, kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu utalii wa ngono nchini Kolombia. Wikipedia inatafsiri dhana hiyo:...
Vyombo vya Habari Vyaususia Wimbo wa Kupigania Uhuru Ulioimbwa na Msanii Maarufu Nchini Macedonia
Msanii maarufu wa Macedonia wa miondoko ya kufoka foka amejikuta akipoteza umaarufu baada ya kuachia ‘kibao’ kinachojadili masuala ya uhuru wa habari nchini Macedonia.
Wanabogu wa Togo Wamtania Rais Kufuatia Ujumbe wa Bango Barabarani
Mtu mmoja alitaka watu wajue kwamba alikuwa na shukrani kwa ukarimu wa Rais wa Togo Faure Gnassingbé. Wiki hii, bango kubwa liliwekwa jijini Lomé, Togo kusifia kitendo cha Rais kutoa chakula...
Surprising Europe: Mkusanyiko Huru wa Simulizi za Uhamiaji
Jukwaa huru la mtandaoni linalozikusanya na kuziweka pamoja simulizi na video za wahamiaji kutoka Afrika. An online platform that brings together African immigrants' stories and videos, unabridged. NI mradi unaosaidia kukabiliana na unyanyasaji na unyanyapaa pamoja na kuwaongezea watu ufahamu kuhusiana na wahamiaji hawa.