· Disemba, 2013

Habari kuhusu Mawazo kutoka Disemba, 2013

Brazil: Je Unamuenzi Mandela? Basi Saidia Haki za Binadamu

Bango la kuonyesha heshima kwa Nelson Mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa Afrika Kusini nchini Brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia...

“Mimi ni Mchuuzi Mjerumani Mjini Dakar”

Muda mfupi baada ya kuwasili kwangu Senegal, nilikutana na kijana. Alinieleza hamu yake ya kuondoka Senegal katika mkutano wetu wa kwanza. Nilitaka kuelewa yaliyosababisha hamu...

Kuwa na Mabadiliko – Shiriki Habari za Harakati za Kiraia

Kuwa na Mabadiliko ni tovuti mpya kwa hisani ya CIVICUS kwa watu kushiriki hadithi ya harakati zao wenyewe ili kuhamasisha wengine au kutafuta usaidizi.