Habari kuhusu Mawazo kutoka Septemba, 2016
Colombia Vijijini kuna Mwalimu Anayezunguka na Punda Wawili, Anatembeza Vitabu kwa Ajili ya Watoto Kujisomea
"Siku moja, Mwalimu Luis aliamua kuwatwika vitabu punda wake, Alfa na Beto, na kisha kuvipeleka vitabu hivyo hadi maeneo ya vijijini kwa ajili ya watoto ambao hawakuwa na uwezo wa kuvipata vitabu hivyo"