Habari kuhusu Mawazo kutoka Juni, 2014
Maneno Yasiyotafsirika Yafafanuliwa kwa Michoro
Tovuti ya Pijamasurf [es] inazungumzia “orodha ya maneno 30 yasiyotafsirika” ambayo msanii mchunguzi Anjana Iyer [en] alijaribu kuyachorea mchoro wenye kuchekesha kidogo. Kwa mfano: Bakku- shan (Kijapani) Msichana mzuri…almuradi tu...