Habari kuhusu Mawazo kutoka Machi, 2014
Mazungumzo ya GV: Heri ya Miaka 25 ya Kuzaliwa, Mtandao!
Kuna tofauti gani kati ya Intaneti na Mtandao? Kwa nini mtandao wazi ni muhimu? Jopo la wataalamu maarufu wa teknolojia na watetezi wa haki wanazungumzia hilo kwenye Mazungumzao ya GV.
Ukuta Wetu wa Berlin Nchini Syria
"Wanafunzi wa Syria kwa mustakabali bora" ni blogu ya wnafunzi wa Syria wanaofadhiliwa, ambao wanaitumia kujadili matumaini yao, kukumbuka nyumbani, wasiwasi, mashaka, mitazamo chanya na matumaini kwa Syria iliyo bora.
Mazungumzo ya GV: Kipi Kinafuata Nchini Ukraine?
Kipi kinafuata kwenye vuguvugu la maaandamano ya Ukraine? Maandamano na umwagaji damu ulisababisha kung'oka kwa rais anayetuhumiwa kuwa fisadi. Lakini sasa, wakati Urusi ikijiandaa kijeshi na Crimea ikifikiria kujitenga, yapo maswali mengi yasiyoisha kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini Ukraine pamoja na uhusiano wake na Umoja wa Ulaya.
“Si rahisi kuwa Mhindi” nchini Marekani
Ricey Wild, Mmarekani wa asili anayeblogu kwenye blogu ya Indian Country Today, anandika kuhusu kuuawa kwa mbwa mwitu kwenye jimbo la Minnesota, Marekani. […]Rafiki yangu mpenzi Melissa alikuja kunichukua mwezi...