Habari kuhusu Mawazo kutoka Julai, 2016
Katuni Maarufu ya Ukraini Yaweka Mazingira ya Wazazi Kuzungumzia Usafirishaji Haramu wa Binadamu
Hivi sasa kwapitia mtandao wa YouTube, takribani nusu karne baadae, katuni iliyo kwenye mfululizo uuitwao "Namna Wakulima wa Kirusi..." (How the Cossacks...) zinaonekana kurudia umaarufu wake wa awali.