Habari kuhusu Ubaguzi wa Rangi kutoka Machi, 2017
Simulizi la Shoga, Kijana Mweusi Aishiye Nje Kidogo ya Mji wa São Paulo, Aliyekuja kuwa Mtengeneza Filamu
"Siogopi kutengeneza video zangu na kuonesha sehemu ninayoweza kuiita nyumbani. Huu ndio ukweli wangu."
Kilicho cha Zamani ni Kipya: Unasikiliza? Matangazo ya Sauti
Katika matangazo haya ya sauti, tunakupeleka hadi Jamaica, Indonesia, Syria, Macedonia na Ethiopia kwa simulizi za kumbukumbu, ufufuaji na uzima mpya