Habari kuhusu Ubaguzi wa Rangi kutoka Julai, 2016
Kijana Mkimbizi Raia wa Liberia, Aliyejipatia Elimu Marekani, na kisha Kuamua Kurudi ‘Nyumbani’
Mercy Krua ni mkimbizi wa Liberia anayeishi Boston. Mtoto wake pia alikuwa mkimbizi kutoka Liberia. Hata hivyo, kijana huyu ameamua kurudi na kuishi nchini Liberia.