Habari kuhusu Ubaguzi wa Rangi kutoka Mei, 2013
VIDEO: Namna Watu Wawili Tofauti Walivyopinga Dhuluma na Kushinda
Mkhuseli "Khusta" Jack na Oscar Olivera waliongoza harakati tofauti za kiraia zisizohusisha vurugu, moja ikiwa ni Afrika Kusini mwaka 1985 nyingine ikiwa ni Bolvia mwaka 2000. Video iliyoandaliwa na Shule ya Uandishi wa Weledi inasimulia habari zao