· Agosti, 2009

Habari kuhusu Ubaguzi wa Rangi kutoka Agosti, 2009

China: Mitizamo Potofu Pamoja na Ubaguzi wa Wa-Han Dhidi ya Wa-Uyghur

  18 Agosti 2009

Ni mwezi mmoja na zaidi umepita tangu machafuko ya Xinjiang ya Julai 5 na wengi wa wanamtandao wa intaneti wa Kichina bado wanazilaumu nchi za Magharibi pamoja na Rebiya Kadeer kwa kuwatetea wale wanaotaka kujitenga huko Xinjiang. Hata hivyo, kuna sauti za minong’ono zinazochepuka hapa na pale katika intaneti ya...