Habari kuhusu Ubaguzi wa Rangi kutoka Juni, 2021
Serikali ya Nijeria yaifungia Twita baada ya mkanganyiko wa twiti ya rais iliyotishia matumizi ya nguvu kufutwa
Watumiaji wa twita nchini Naijeria kutoka kwenye makabila mbalimbali yalitumia majina ya Kiigbo kukuza alama habari ya #IamIgboToo kuonesha mshikamano wao na watu wa kabila la Igbo waliotishiwa na twiti ya Rais Buhari.