· Oktoba, 2015

Habari kuhusu Ufaransa kutoka Oktoba, 2015

Raia wa Ufaransa Wastukia Hatari ya Muswada wa Udukuzi

Watetezi wa haki za kiraia wanasema muswada unaokaribia kuwa sheria unaweza kuipa nguvu Ufaransa katika udukuzi wa kimataifa wa mawasiliano ya intaneti.