Habari kuhusu Ufaransa kutoka Oktoba, 2013
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Maandamano ya Usawa ya Wafaransa
Miaka 30 iliyopita (Oktoba 15, 1983), a maandamano ya usawa dhidi ya ubaguzi wa rangi [fr] yalianzia Marseille na watu 32, wengi wao wakiwa wenye asili ya Kiarabu, kwa kuomba haki ya kupiga...