Habari kuhusu Venezuela kutoka Mei, 2014
Venezuela: Utata na Mashambulizi Wajadiliwa kwenye Mtandao wa Twita
Wakitumia alama ashiria #UcabCaracas na #SOSColectivosDelTerrorAtacanUCAB [SOS vikundi vya kigaidi vya mashambulizi UCAB], maoni na picha ya mashambulizi kwa wanafunzi kwenye maandamano ambayo inaonekana yalitokea katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki...