Habari kuhusu Venezuela kutoka Novemba, 2009
Venezuela: Kukutana na kazi za msanii Jesus Soto
Kazi za msanii wa Kivenezuela Marehemu Jesus Soto zinapaswa kuguswa na kujizamisha ndani yake ili kuzielewa. Wachache waliwahi kutembelea kazi zake kwenye makumbusho wameandika uzoefu wao.