Habari kuhusu Brazil kutoka Mei, 2018
Brazil Yatambulisha Kanuni Ngumu Dhidi ya ‘Habari Zisizo za Kweli’ Kuelekea Uchaguzi wa 2018

Kamati yenye wajumbe wanaotoka jeshini, polisi na idara ya Usalama ya Brazili itakuwa na kazi ya kufuatilia na ikibidi kutoa amri ya kufungiwa kwa habari za uongo kwenye mitandao ya kijamii.