Habari kuhusu Brazil kutoka Oktoba, 2013
GV Face: Kupigania Mtandao Huru wa Intaneti Nchini Brazil

Wiki hii kwenye GV Face, tulizungumza na mwandishi wetu wa Brazil Raphael Tsavkko, mtaalamu wa sera ya mtandao Carolina Rossini na Joana Varon, mwandishi wa muswada huo wa Marco Civil da
Madaktari 400 wa Cuba Waenda Brazil
Daudi Oliveira de Souza, daktari na profesa wa Taasisi ya Utafiti wa Hospitali ya Sirio-Libanés, alituma barua ya wazi kwa madaktari zaidi ya mia nne wa Cuba ambao hivi karibuni waliwasili nchini...