Habari kuhusu Brazil kutoka Disemba, 2013
Brazil: Je Unamuenzi Mandela? Basi Saidia Haki za Binadamu
Bango la kuonyesha heshima kwa Nelson Mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa Afrika Kusini nchini Brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia haki za binadamu. Ujumbe huo...