Habari kuhusu Brazil kutoka Mei, 2019
‘Jeshi halijamuua Yeyote,’ Asema Bolsonaro Baada ya Wanajeshi Kupiga Risasi 80 Kwenye Gari la Familia huko Brazil Na Kuua Mtu Mmoja
"Jeshi la watu, na huwezi kuwatuhumu watu kwa mauaji," alisema rais wa Brazil siku sita baada ya tukio lililoishangaza nchi.