Habari kuhusu Afya kutoka Machi, 2019
Kwa nini Cuba Iliamua Kuwaondoa Madaktari Wao 8,000 Kutoka Nchini Brazili
Havana ilitangaza kusitisha makubaliano yake na Brazil kufuatilia kauli ya rais mteule Jair Bolsonaro kuhusu mradi ambao unadaiwa "kuwa hatari na unapungua thamani yake".